elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): Check Out "Nanje ndagukunda" ya Linias wa EBSS song and lyrics
http://elshaddairec.blogspot.com/2013/01/chech-nanje-ndagukunda-ya-linias-wa.html
Check Out "Nanje ndagukunda" ya Linias wa EBSS song and lyrics. Mshiriki wa EBSS 2012 Linias Mhaya ameachia wimbo wake wa kwanza unaitwa Nanje ndagukunda, angalia video hii ya Wimbo huo na Lyrics zake. Subscribe to: Post Comments (Atom). TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA HII BLOG HAPA. KARIBUNI EL - SHADAI RECORDZ, KWA AUDIO BORA, TUPO MAGHOROFANI KARIBU NA SHELI. Check Out Nanje ndagukunda ya Linias wa EBSS son. LULU KAPATA DHAMANA, kwa 20. Mil. Keisha: Nimetumia zaidi ya 10. Mil. kufanya Video . THIS IS ABOUT US.
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): November 2012
http://elshaddairec.blogspot.com/2012_11_01_archive.html
Rest In Peace SHARO BILLIONEA. Msanii, Muigizaji, Mchekeshaji Hussein Ramadhani aka Sharo Bilionea amepata ajali ya gari akiwa anaendesha mwenyewe Toyota Harrier akitoka Dar kwenda Muheza kwao. Baada ya Ajali (Samahani kwa picha hii). Sharo Milionea ambaye alitamba sana kwenye filamu ya vichekesho ya Mzee Majuto ya Back From New York ambayo aliigiza kama "Sharobaro" amefariki dunia leo baada ya kupata ajali ya gari. Mungu ailze roho yake mahali pema peponi. AMEEN. AEBSS FINAL;E, WALTER AKIIMBA NA DITTO.
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): February 2013
http://elshaddairec.blogspot.com/2013_02_01_archive.html
BongoFlavour: ManCT - NDOA. Subscribe to: Posts (Atom). TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA HII BLOG HAPA. KARIBUNI EL - SHADAI RECORDZ, KWA AUDIO BORA, TUPO MAGHOROFANI KARIBU NA SHELI. BongoFlavour: ManCT - NDOA. VISIT IN THIS BLOGS. THIS IS ABOUT US. Green City, Mbeya. View my complete profile. Created by Abraham Abby NM 0757 316 655, www.abrangula.blogspot.com (abrangula@yahoo.com). Simple template. Powered by Blogger.
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): January 2013
http://elshaddairec.blogspot.com/2013_01_01_archive.html
Check Out "Nanje ndagukunda" ya Linias wa EBSS song and lyrics. Mshiriki wa EBSS 2012 Linias Mhaya ameachia wimbo wake wa kwanza unaitwa Nanje ndagukunda, angalia video hii ya Wimbo huo na Lyrics zake. LULU KAPATA DHAMANA, kwa 20. Mil. Taarifa za uhakika nilizozipata kwa sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mwigizaji Lulu akatoka kwa dhamana kesho Tarehe 25. Chanzo cha kuaminika kimesema dhamana ya kumtoa Lulu ambae amekua chini ya ulinzi kuanzia April 2012 ni milioni 20 za kitanzania. Kuhusu Video hii K...
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): BongoFlavour: ManCT - NDOA
http://elshaddairec.blogspot.com/2013/02/bongoflavour-manct-ndoa.html
BongoFlavour: ManCT - NDOA. Subscribe to: Post Comments (Atom). TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA HII BLOG HAPA. KARIBUNI EL - SHADAI RECORDZ, KWA AUDIO BORA, TUPO MAGHOROFANI KARIBU NA SHELI. BongoFlavour: ManCT - NDOA. VISIT IN THIS BLOGS. THIS IS ABOUT US. Green City, Mbeya. View my complete profile. Created by Abraham Abby NM 0757 316 655, www.abrangula.blogspot.com (abrangula@yahoo.com). Simple template. Powered by Blogger.
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): NU Video, Diamond - Kesho
http://elshaddairec.blogspot.com/2012/12/nu-video-diamond-kesho.html
NU Video, Diamond - Kesho. Subscribe to: Post Comments (Atom). TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA HII BLOG HAPA. KARIBUNI EL - SHADAI RECORDZ, KWA AUDIO BORA, TUPO MAGHOROFANI KARIBU NA SHELI. OFA KWA AJILI YAKO. NU Video, Diamond - Kesho. NU Video, NU Combination-3D (Dully, Diamond na Dim. Diamond - Nataka Kulewa (Video). VISIT IN THIS BLOGS. THIS IS ABOUT US. Green City, Mbeya. View my complete profile.
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): LULU KAPATA DHAMANA, kwa 20. Mil
http://elshaddairec.blogspot.com/2013/01/lulu-kapata-dhamana-20-mil-kwa-ajili.html
LULU KAPATA DHAMANA, kwa 20. Mil. Taarifa za uhakika nilizozipata kwa sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa mwigizaji Lulu akatoka kwa dhamana kesho Tarehe 25. Uhakika wa Lulu kupata dhamana ulikua jana jumatano lakini ikawa imeshindikana kutokana na kuahirishwa kwa sababu jaji alipata dharura na pia kiwango cha pesa za dhamana kilikua hakijatimia. Chanzo cha kuaminika kimesema dhamana ya kumtoa Lulu ambae amekua chini ya ulinzi kuanzia April 2012 ni milioni 20 za kitanzania. VISIT IN THIS BLOGS.
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): OFA KWA AJILI YAKO
http://elshaddairec.blogspot.com/2012/12/ofa-kwa-ajili-yako.html
OFA KWA AJILI YAKO. Uongozi wetu wa El - Shaddai Record's, Tuliopo Maghorofani kituo cha marolli karibu na kituo cha mafuta. tumeamua kutoa OFA maalumu ktk msimu huu wa Siku kuu za X-Mas na Mwaka Mpya kwa kila Recording kuwa nusu gharama ya kawaida. Hili limethibitishwa na Mkurugenzi wetu mkuu, George David, ya kuwa kila Recording itakuwa nusu ya gharama ya kawaida kwa msimu huu na baadae kidogo kwa nyimbo (audio), Matangazo na kila kitu ikiwemo kazi ambazo hazikumaliziwa kutoka ktk studio nyingine.
elshaddairec.blogspot.com
EL - SHADDAI RECORDZ (MBEYA): Keisha: Nimetumia zaidi ya 10. Mil. kufanya Video na Diamond "Nimechoka"
http://elshaddairec.blogspot.com/2013/01/keisha-nimetumia-zaidi-ya-10-mil.html
Keisha: Nimetumia zaidi ya 10. Mil. kufanya Video na Diamond "Nimechoka". Ile picha iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha Diamond anajipaka poda ndani ya gari akiwa na msichana basi Script yake ilikuwa ya humu ndani, tizama video mpya ya Keisha akiwa na Diamonda track inaitwa nimechoka kupitia InfoGramme Blog. Subscribe to: Post Comments (Atom). TAFUTA CHOCHOTE NDANI YA HII BLOG HAPA. KARIBUNI EL - SHADAI RECORDZ, KWA AUDIO BORA, TUPO MAGHOROFANI KARIBU NA SHELI. LULU KAPATA DHAMANA, kwa 20. Mil.