tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: November 2012
http://tumainihabari.blogspot.com/2012_11_01_archive.html
Saturday, November 24, 2012. Kasoro katika mchakato utunzi mitihani, mitaala. TAFITI wa kitaalamu umeonyesha kuwapo kwa kasoro katika mchakato wa utunzi wa mitihani ya kuhitimu kidato cha nne na kubainisha kuwa, kufeli kwa wanafunzi wa shule za sekondari kunatokana na walimu kutopewa mafunzo ya utekelezaji wa mitalaa. Miongoni mwa kasoro zilizobainishwa ni pamoja na utata kuhusu nafasi za alama za mazoezi katika mtihani wa mwisho na ushiriki wa walimu na wakuzaji mitalaa katika utunzi wa mitihani hiyo.
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari
http://tumainihabari.blogspot.com/2012/11/normal-0-false-false-false-en-us-x-none.html
Saturday, November 24, 2012. Kasoro katika mchakato utunzi mitihani, mitaala. TAFITI wa kitaalamu umeonyesha kuwapo kwa kasoro katika mchakato wa utunzi wa mitihani ya kuhitimu kidato cha nne na kubainisha kuwa, kufeli kwa wanafunzi wa shule za sekondari kunatokana na walimu kutopewa mafunzo ya utekelezaji wa mitalaa. Miongoni mwa kasoro zilizobainishwa ni pamoja na utata kuhusu nafasi za alama za mazoezi katika mtihani wa mwisho na ushiriki wa walimu na wakuzaji mitalaa katika utunzi wa mitihani hiyo.
frankkimaro.blogspot.com
Journalism in blood: VIDEOS
http://frankkimaro.blogspot.com/p/videos.html
Frank Kimaro run this blog. COMMENT HAPA UKIMALIZA, KWENYE PROFILE SELECT ANONYMOUS KISHA BONYEZA PUBLISH. Subscribe to: Posts (Atom). There was an error in this gadget. View my complete profile. There was an error in this gadget. Promote Your Page Too. 07/03 - 07/10 (5). 08/07 - 08/14 (2). 08/21 - 08/28 (1). 09/04 - 09/11 (1). 09/18 - 09/25 (2). 09/25 - 10/02 (2). 10/02 - 10/09 (1). 10/23 - 10/30 (2). 10/30 - 11/06 (4). 11/06 - 11/13 (4). 11/13 - 11/20 (6). 11/20 - 11/27 (4). 11/27 - 12/04 (2). Snoop Do...
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: January 2013
http://tumainihabari.blogspot.com/2013_01_01_archive.html
Sunday, January 27, 2013. MANGULA AWALAMBISHA FAITH CHOIR MILIONI 15. Makamu mwenyekiti wa CCM taifa ndugu Philip Mangula akiongozwa na mwenyekiti wa bodi ya Chuo kikuu cha Tumaini kuingia katika ukumbi wa Multipurpose kwa ajili ya kuchangia kwaya ya faith ya CCT kwa ajili ya kurekodi mkanda wa Video wa nyimbo za injili. Mgeni rasmi akiwa na mwenyekiti wa CCM mkoa wa iringa ndugu Jesca msambatavangu (kushoto) na mbunge wa viti maalum ndugu rita kabati na viongozi wengine wa CCM wilaya na mkoa. Baada ya h...
frankkimaro.blogspot.com
Journalism in blood: 2013-03-03
http://frankkimaro.blogspot.com/2013_03_03_archive.html
Frank Kimaro run this blog. Yaliyojiri kwenye Kili Marathon leo. Baadhi ya wacheza muziki wa dance wakionesha vitu vyao. Jamaa alikamatwa baada ya kumshika mke wa mtu makalio. Watoto wa kichaga wakimwaga radhi. Baadhi ya wakazi wa Moshi wakishuhudia show. Mshindi wa kike katika mashindano ya kucheza akiwa anaonesha vitu vyake. Uzalendo ukamshinda huyu mshikaji akamua kufanya kitu cha ajabu. Jamaa akiwa anacheza nyimbo ya chapia kwa kutumia baiskeli. Subscribe to: Posts (Atom). View my complete profile.
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: Haya ndio mapokezi ya Mabingwa wa Kopa Cocacola {2012} Morogoro
http://tumainihabari.blogspot.com/2012/07/haya-ndio-mapokezi-ya-mabingwa-wa-kopa.html
Sunday, July 22, 2012. Haya ndio mapokezi ya Mabingwa wa Kopa Cocacola {2012} Morogoro. Subscribe to: Post Comments (Atom). Enable students to acquire skills, knowledge, and attitudes needed to work as reporters or editors for newspapers, magazines, radios, television, news agencies, and public relations offices; mass communication planners and educators; and public and private sector information officers. View my complete profile. Haya ndio mapokezi ya Mabingwa wa Kopa Cocacola {2.
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: Tatizo la Maji litaisha lini?
http://tumainihabari.blogspot.com/2012/07/tatizo-la-maji-litaisha-lini.html
Sunday, July 22, 2012. Tatizo la Maji litaisha lini? Ni miaka hamsini sasa tangu Tanzania ijipatie uhuru wake toka kwa wakolon,kwa lengo la kujiendeshea maisha yao wenyewe.Katika kipindi chote hicho bado suala la upatikanaji wa maji safi na salama limekuwa likisuasua hasa kwa wakazi wa vijijini. Mara nyingi wahanga wakubwa wa janga hili ni wanawake ambao huwajibika kutafuta maji toka pale yanapopatikana mpaka nyumbani, ambapo maranyingi huyatoa umbali mrefu. Hali hii inakwamisha juhudi nzima ya maend...
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: March 2012
http://tumainihabari.blogspot.com/2012_03_01_archive.html
Tuesday, March 27, 2012. Vita ya Arumeru ni ngumu kwa CCM kuliko ilivyokuwa IGUNGA: Chadema jipangeni. Na Solomon Ole Lekui. Kampeni za Igunga ziliwaacha wana chadema na msiba wa kada/wakala wao alie uwawa na wanaccm. Hii ni picha ya kada wa CHADEMA aliyeuwawa huko Igunga wakati wa uchaguzi mdogo. Mbowe atoa mwaliko wa mkesha siku ya kupiga kura. Na Solomon Ole Lekui. Wa kusubiri matokeo ya uchaguzi huo eneo la Leganga, jirani na Halmashauri ya Meru. Akizungumza katika mkutano wa hadhara katika Kijiji ch...
tumainihabari.blogspot.com
Tumaini Habari: June 2012
http://tumainihabari.blogspot.com/2012_06_01_archive.html
Saturday, June 30, 2012. DOKTA ASHA-ROSE MIGIRO AWA MJUMBE WA MASUALA YA UKIMWI BARANI AFRIKA. Aliyekuwa naibu katibu mkuu wa Umoja wa Afrika dokta Asha-Rose Migiro ameteuliwa na katibu mkuu wa umoja wa mataifa mheshimiwa Ban Ki Moon kuwa mjumbe wake maalum wa masuala ya Ukimwi barani afrika baada ya kumaliza mda wake. Alitangaza uteuzi huo katika hafla ya maaulum. Aliyoondaa kwa ajili ya ya kumuuga Naibu Katibu Mkuu wake. Wake kwa muda wa miaka mitano na nusu katika nafasi ya. Ya Umoja wa Mataifa. 8220;...