nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA AFYA ZNZ
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/12/shein-akutana-na-watendaji-wa-wizara-ya.html
Monday, December 3, 2012. SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA AFYA ZNZ. HABARI PICHA: MICHUZI BLOG. Subscribe to: Post Comments (Atom). SASA HIVI NI SAA! JOHN STEFANO MAGANGA AFARIKI. Tasnia ya filamu nchini Tanzania, imefikwa na msiba mwingine Mkubwa wa Msanii wa Filamu, John Stephano Maganga aliyefariki jana katika. 2012 A BANNER YEAR FOR HEINEKEN TANZANIA. By Mwita Mwaikenda, 2012 has been an exceptional year in the Tanzania market for Dutch beer company, HEINEKEN. Although HEINEKEN ha. SHEIN AKU...
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: THABO MBEKI ZIARANI UDSM
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/11/thabo-mbeki-ziarani-udsm.html
Friday, November 23, 2012. THABO MBEKI ZIARANI UDSM. Rais Mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki ( Pichani-Kushoto) amefanya ziara nchini Tanzania ambapo akiwa katika Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam amewataka Waafrika bila kujali mipaka ya nchi walizomo kujali umoja na mshikamano ili kufikia ukombozi halisi wa Bara la Afika katika nyanja za Uchumi na Siasa. Nchi ya Afrika ya Kusini imekuwa na mahusiano ya Kihistoria na nchi ya Tanzania tangu enzi za kupigania Uhuru dhidi ya Ukoloni. SASA HIVI NI SAA! Develop...
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: 2012 A BANNER YEAR FOR HEINEKEN TANZANIA
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/11/2012-banner-year-for-heineken-tanzania.html
Tuesday, November 27, 2012. 2012 A BANNER YEAR FOR HEINEKEN TANZANIA. By Mwita Mwaikenda,. 2012 has been an exceptional year in the Tanzania market for Dutch beer company, HEINEKEN. Although HEINEKEN has been present in the Tanzanian market for decades, it was this year that HEINEKEN fully committed to the market and setup offices in Dar es Salaam. With friends. HEINEKEN is a global sponsor of the UEFA Cup and was able to give HCP guests unparalleled access to most. Of the Champions Cup action. On the gr...
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: MGOGORO WA ARDHI TEGETA,BUNJU KUTATULIWA
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/12/mgogoro-wa-ardhi-tegetabunju-kutatuliwa.html
Wednesday, December 5, 2012. MGOGORO WA ARDHI TEGETA,BUNJU KUTATULIWA. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka amekutana na wakazi wa tegeta katika ziara yake ya kikazi ambayo lengo lake ni kusikiliza na kutatua mgogoro wa ardhi uliopo kati ya wakazi hao na kiwanda cha kutengeneza Saruji (Twiga Cement). Subscribe to: Post Comments (Atom). SASA HIVI NI SAA! JOHN STEFANO MAGANGA AFARIKI. 2012 A BANNER YEAR FOR HEINEKEN TANZANIA. TENGA, WIZARA WATETA KUZUIWA AKAUNTI YA TFF. Utafi...
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: TFF yataka wachezaji wa timu ya Congo wapimwe upya
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/12/tff-yataka-wachezaji-wa-timu-ya-congo.html
Wednesday, December 5, 2012. TFF yataka wachezaji wa timu ya Congo wapimwe upya. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewasilisha barua ya malalamiko yake dhidi ya matumizi ya wachezaji wenye umri mkubwa na unyanyasaji uliofanywa kwa maofisa wa timu ya taifa ya vijana walio na umri chini ya miaka 17 wa Serengeti Boys wakati wa mechi ya marudiano ya michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Vijana dhidi ya Congo. Katika barua iliyotumwa CAF jana, TFF imerejea barua ya pingamizi aliyokabidhiwa kamisaa wa ...
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: JOHN STEFANO MAGANGA AFARIKI
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/11/john-stefano-maganga-afariki.html
Sunday, November 25, 2012. JOHN STEFANO MAGANGA AFARIKI. Tasnia ya filamu nchini Tanzania, imefikwa na msiba mwingine Mkubwa wa Msanii wa Filamu, John Stephano Maganga aliyefariki jana katika Hospitali ya Muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa viongozi wa Wasanii zinasema kuwa Mipango ya mazishi inafanyika Nyumbani kwao Mwananyama A jirani na Kopakabana Bar jijini Dar es Salaam. HABARI KWA HISANI YA YANAYOTOKEA DUNIANI.BLOG. Subscribe to: Post Comments (Atom). Developm...
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: MAONESHO YA COET (UDSM) YAFANA
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/11/maonesho-ya-coetudsm-yafana.html
Saturday, November 10, 2012. MAONESHO YA COET (UDSM) YAFANA. Mratibu wa Shahada za awali (UDSM), Precksedec Ndomba(anayekata utepe), akifungua rasmi maonesho ya Chuo cha Uhandisi cha Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam (COET) kwa lengo la kuwapa uelewa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuhusu mafunzo wanayotakiwa kufanya wawapo chuoni hapo. Mwanafunzi wa Chuo cha Uhandisi (UDSM) akiwaeleza wanafunzi paomja na wageni (hawapo kwenye picha) kuhusu. Subscribe to: Post Comments (Atom). SASA HIVI NI SAA! Development Aid i...
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: KIPA MUNISHI AREJESHWA TAIFA STARS
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/12/kipa-munishi-arejeshwa-taifa-stars.html
Thursday, December 13, 2012. KIPA MUNISHI AREJESHWA TAIFA STARS. Timu ya Taifa (Taifa Stars) imeingia kambini kujiandaa kwa mechi ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya mabingwa wa Afrika, Zambia (Chipolopolo) huku Kocha Kim Poulsen akimjumuisha tena katika kikosi hicho kipa Deogratias Munishi ‘Dida’. Poulsen amemjumuisha Munishi kwenye kikosi hicho kuziba nafasi ya Mwadini Ally ambaye atakuwa nje ya nchi na timu yake ya Azam inayokwenda kushiriki mashindano maalumu nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC).
nyasebwajackson.blogspot.com
NYASEBWA JACKSON: KIKWETE:TATIZO LA WALIMU KUISHA IFIKAPO 2015
http://nyasebwajackson.blogspot.com/2012/12/rais-jakaya-mrisho-kikwete-amesema.html
Thursday, December 13, 2012. KIKWETE:TATIZO LA WALIMU KUISHA IFIKAPO 2015. Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema ifikapo mwaka 2015 hakutakuwa na uhaba wa walimu nchini na kuanzia mwaka 2020 shule za msingi zitaanza kufundishwa na walimu wenye elimu ya shahada, kutokana na idadi kubwa ya wahitimu wa fani hiyo watakaokuwa kwenye soko la ajira. Hata hivyo Rais Kikwete amekiri Tanzania inakabiliwa na upungufu wa walimu wa masomo ya sayansi jambo amabalo linapaswa kutafutiwa suluhisho. SASA HIVI NI SAA! MWANAMU...
SOCIAL ENGAGEMENT